Sven asaka muunganiko wa nyota wapya na wazamani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Sep 2020
Sven asaka muunganiko wa nyota wapya na wazamani

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema anahitaji kufanyia kazi muunganiko wa wachezaji wake wapya na wale waliokuwepo tangu msimu uliopita

Pamoja na usajili wa nyota wapya saba, ni Bernard Morrison na Joash Onyango pekee ambao wamejihakikishia nafasi kwenye kikosi cha Sven mpaka sasa

Sven amesema sio rahisi kwa wachezaji hao wapya kuingia moja kwa moja kwenye timu, wanapaswa kwendana na mfumo wa uchezaji wa Simba

"Licha ya usajili bora ambao kikosi chetu kimeufanya, lakini ipo changamoto ya kuwaunganisha wachezaji wapya na hawa tuliokuwa nao tangu msimu uliopita"

"Zaidi ni katika kutafuta uwiano kwenye maeneo mawili ambayo ni eneo la ushambuliaji na ulinzi, naamini kama tutaweza kutengeneza muunganiko mzuri katika maeneo hayo basi hakuna wa kutuzuia kutwaa ubingwa", alisema Sven

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’