Tarehe kama ya leo alizaliwa mlinda lango namba moja wa Simba na timu ya Taifa, Aishi Manula
Kwa misimu minne mfululizo, Manula ameibuka kuwa mlinda lango bora ligi kuu ya Tanzania Bara
Hakuna mjadala, Manula ndiye kipa bora ndani ya ardhi ya Tanzania kwa wakati huu
Na siku ya leo ikawe ya furaha kwake
HAPPY BIRTHDAY MANULA...!
ADVERTISE HERE