Tusikubali kutolewa kwenye reli - Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Sep 2020
Tusikubali kutolewa kwenye reli - Mo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amewataka Wanamsimbazi waendelee kuwa wamoja ili kuhakikisha wanatimiza malengo

Mo amewataka Wanasimba wasikubali kutolewa katika mambo yao ya msingi na kuwa wanapaswa kupambana

"Nawaomba tusitoke kwenye reli. Tupambane", aliandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Baada ya mchezo wa jana dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1, kumekuwa na manun'guniko miongoni mwa Wanasimba ambao baadhi hawakubaliani na mambo kadhaa

Uongozi wa Simba umesisitiza kuwa yale ni matokeo tu ya mpira wa miguu, timu itarejea ikiwa imara katika michezo inayofuata

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’