Simba kurejea Dar kuiwinda Biashara United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Sep 2020
Simba kurejea Dar kuiwinda Biashara United

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar jana, mabingwa wa nchi Simba wanarejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Biashara United

Huo utakuwa mchezo wa kwanza wa nyumbani msimu huu kwa Simba, ukitarajiwa kupigwa Jumapili Sepemba 20 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya mchezo huo, mabingwa hao watetezi wataendelea kubaki jijini Dar es salaam ambapo Septemba 26 watacheza na Gwambina Fc

Matokeo ya sare dhidi ya Mtibwa Sugar jana hayakufurahiwa na wengi, hakuna shaka katika mechi hizi Simba itarejesha furaha ya mashabiki wake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’