Hans Poppe akerwa Okwi kuumizwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Feb 2018
Hans Poppe akerwa Okwi kuumizwa
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amekasirishwa na kitendo cha wachezaji Ruvu Shooting kucheza kindava.

Jana Simba ilifanikiwa kuishinda Shooting kwa mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara huku mchezaji wake Emmanuel Okwi akitolewa nje baada ya kuumizwa.

Okwi ambaye ni kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, aliumizwa na beki Mau Bofu wa Ruvu Shooting kwa kumpiga kiwiko. Bofu alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja licha ya kuwa tayari alikuwa na kadi ya njano.

Ò€œHuu si mchezo wa kiungwana, hawa watu wanakuwa kama vile wametumwa au wanafanya hivyo kuwaridhisha watu fulani.

Ò€œHii si sahihi, inaonekana leo waliingia uwanjani wakiwa wamepania kuwaumiza wachezaji fulani walioambiwa. Si sawa hata kidogo,Ò€ alisema Hans Poppe ambaye ni mwanajeshi mstaafu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
20h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’