Mapema leo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amekutana na Mwakilishi wa Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa nchini (UN Women), Hodan Addou
UN wamempongeza Barbara kwa nafasi ambayo ameipata kwenye klabu, lakini pia kujadili namna Simba inaweza kushirikiana na UN Women katika mambo mbalimbali ambayo yatasaidia Simba kusonga mbele zaidi



ADVERTISE HERE