Fundi wa mpira Ibrahim Ajibu 'Cadabra' Migomba maarufu 'Mzee wa Makorokoro' leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Fundi huyu Simba ndio sehemu aliyokulia akianza kucheza tangu timu ya vijana Simba B
Ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa, lakini pia ni kipenzi cha mashabiki wa klabu ya Simba
Tunamtakia kila la kheri katika kumbukumbu ya siku hii muhimu
Happy Birthday Ibrahim Ajibu
ADVERTISE HERE