Tarehe kama ya leo alizaliwa beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michael
Gadiel alitua Simba msimu uliopita baada ya kuikacha klabu ya Yanga. Inafahamika, ni hitaji la kila mchezaji mzuri hapa nchini kutamani kuichezea Simba
Amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi mbele na nahodha msaidizi Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr', lakini amefanya vizuri kila anapoaminiwa na kocha Sven Vandenbroeck
Simba ni timu iliyokamilika kila idara, hivyo changamoto ya kucheza mara kwa mara haikosekani
Tunamtakia kila la kheri siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
Hapy Birthday Gadiel...!
ADVERTISE HERE