Mkuu wa Idara ya Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema mshambuliaji, kinara wa mabao Emanuel Okwi anaendelea vizuri baada ya shambulio alilolipata kwenye mchezo wa jana dhidi ya Ruvu Shooting.
Okwi alipigwa kiwiko na Mao Bofu wakati kipindi cha kwanza kikielekea ukingoni, tukio lililomfanya apoteze fahamu kwa dakika kadhaa.
Alitolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Laudirt Mavugo.
Okwi anatarajiwa kurejea kambini mara tu madaktari watakapojiridhisha na hali na huenda akawemo kwenye kikosi kitakachoivaa Azam FC keshokutwa

ADVERTISE HERE