Mabingwa wa nchi Simba wako mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Jamhuri
Mapema asubuhi, Wanasimba wa Morogoro walipata fursa ya kujipatia kadi rasmi za mashabiki zinazotolewa na Benki ya Equity
Ukiwa na kadi hiyo, unatambulika kuwa shabiki halisi wa Simba
Uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki kuendelea kujipatia kadi hizo kupitia matawi ya benki ya Equity kote nchini


ADVERTISE HERE