Kikosi cha Simba kiliwasili mkoani Morogoro mapema leo na jioni kuanza mazoezi kwenye uwanja wa Jamhuri
Ni maandalizi ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumamosi, Septemba 12 katika uwanja huo

ADVERTISE HERE