Aliyekuwa kiungo wa Simba, Msudan Sharaff Elden Shiboub amejiunga na klabu ya CS Constantine ya nchini Algeria
Shiboub amemaliza mkataba wake na Simba, ambapo mabingwa hao wa nchi walimuacha akatafute changamoto mahali pengine
Msimu wake mmoja alioitumikia Simba ulikuwa na mafanikio makubwa, akiwa katika kikosi kilichotwaa mataji matatu
Alifunga mabao manne kwenye ligi na kutoa pasi tano za mabao
ADVERTISE HERE