Leo asubuhi wachezaji wa klabu ya Simba walifanya program maalum ya mazoezi ya Gym kuweka miili sawa
Simba imeingia kambini leo kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumamosi
Mabingwa hao wa nchi wataondoka kesho kuelekea mkoani Morogoro





ADVERTISE HERE