Mshike mshike VPL kuendelea Ijumaa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Sep 2020
Mshike mshike VPL kuendelea Ijumaa

Mechi za raundi ya pili ligi kuu ya Vodacom zitaanza kupigwa keshokutwa Ijumaa kwa mechi mbili kuchezwa kule Mwanza na jijini Dar es salaam

Gwambina watacheza na Kagera Sugar wakati Azam Fc watacheza na Coastal Union

Mabingwa wa nchi Simba wao watasubiri mpaka siku ya Jumamosi, Septemba 12 kuikabili na Mtibwa Sugar katika mchezo ambao utapigwa mkoani Morogoro

Simba ilianza ligi vizuri kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu Fc

Imepania kuendeleza rekodi yake nzuri mbele ya Mtibwa Sugar msimu uliopita wakishinda mabao 4-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Jamhuri

Hizi hapa mechi zote za raundi ya pili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’