Pongezi zimeendelea kumiminika klabu ya Simba kufuatia Uteuzi wa Mtendaji Mkuu Mwanamke Barbara Gonzalez
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrka, Ahmad Ahmad amempongeza mwanamama huyo kwa kuteuliwa kushika nafasi nyeti kabisa katika klabu ya Simba

ADVERTISE HERE