Kichuya mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Ruvu Shooting

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Feb 2018
Kichuya mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Ruvu Shooting
Shiza Kichuya ameibuka mchezaji bora wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Ruvu Shooting.

Mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru uliishuhudia Simba ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Kichuya alitengeneza mabao mawili ya Simba ambapo bao la kwanza lilifungwa na nahodha John Bocco kupitia mpira wake wa kona kisha akatengeneza bao la pili lililofungwa na Mzamiru Yassini.

Kichuya amekuwa msaada muhimu kwenye kikosi cha Simba ambacho kinaongoza ligi kwa taofauti ya alama tano baada ya ushindi dhidi ya Ruvu Shooting ukiwa ni mchezo wa 16.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’