Ubalozi wa Marekani wapongeza uteuzi wa Bosi mpya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Sep 2020
Ubalozi wa Marekani wapongeza uteuzi wa Bosi mpya Simba

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umempongeza Mtendaji mkuu mpya wa klabu ya Simba Sc Barbara Gonzalez kwa kuteuliwa kuchukua cheo hicho.

Pia ubalozi huo umeipongeza Klabu ya Simba Sc kwa kutoa nafasi kwa Wanawake kwenye nafasi ya uongozi wa juu katika klabu

"Hongera kwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez. Kwa muda mrefu, Ubalozi wa Marekani umeunga mkono wanawake katika michezo ikiwa ndani ya uwanja na katika uongozi.

"Tunajivunia pia kazi ambazo Barbara amewahi kufanya na Shirika la Msaada la Kimarekani (USAID) huko nyuma na kama mjumbe wa bodi ya ushauri ya YALI RLC! Kila la kheri katika kazi yako mpya," ilisema taarifa ya Ubalozi wa Marekani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’