Mechi za raundi ya kwanza ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21 zimekamilika kwa mchezo wa mwisho kupigwa usiku huu kati ya Azam Fc dhidi ya Polisi Tanzania
Mapema leo, KMC ilipata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Mbeya City na kufanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwapiku mabingwa watetezi Simba ambao jana walishinda mabao 2-1 dhidi ya Ihefu Fc
Jumla ya mabao 14 yamefungwa katika mechi za raundi ya kwanza, matokeo ya mechi hizo yakiwa kama yanavyoonekana hapa chini

ADVERTISE HERE