Sven apongeza ushindi, Ihefu walikamia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Sep 2020
Sven apongeza ushindi, Ihefu walikamia

Kocha Mkuu wa Simba Sven vandenbroeck amewapongeza vijana wake ka kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu Fc katika mchezo wa kwanza ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21

Mbelgiji huyo amesema kuwa alifahamu mapema kuwa watakabiliwa na mchezo mgumu dhidi ya Ihefu Fc ambao walikamia kupata matokeo mazuri dhidi ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa ligi hiyo

Amesema waliingia uwanjani kwenda kutafuta pointi tatu bila kuangalia watacheza soka la aina gani ili kuongeza imani kwa mashabiki kuelekea msimu mpya.

"Tulijua mechi itakuwa ngumu kwakua Ihefu ndio wamepanda daraja tulijua watatumia nguvu nyingi kwakua wanacheza na mabingwa watetezi.

"Kikubwa nilichopenda ni ushindi na kupata pointi tatu, tunajiandaa na mchezo wa pili siku ya Jumamosi," amesema Sven

Mchezo unaofuata ni dhidi ya Mtibwa Sugar na utapigwa Jumamosi Septemba 12 kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
2h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’