Simba kileleni mechi ya kwanza tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Sep 2020
Simba kileleni mechi ya kwanza tu

Tayari mchele na chuya zimeanza kujitenga mapema tu katika msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom baada ya Simba kukaa kileleni baada ya ushindi dhidi ya Ihefu Fc hapo jana

Ushindi huo wa mabao 2-1 ulitosha kuwaweka kileleni mabingwa hao watetezi baada ya mechi zilizopigwa jana

Watani zao Yanga wameendelea pale walipoishia msimu uliopita baada ya kuangukia pua mbele ya Tanzania Prisons kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1

Mchezo unaofuata ni dhidi ya Mtibwa Sugar na utapigwa Jumamosi, Septemba 12 kwenye uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro

Baada ya mechi ya Mtibwa Sugar, Simba itarejea jijini Dar es salaam kwenye uwanja wake wa nyumbani kuumana na Biashara United na baadae Gwambina Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’