FT : Ihefu Fc 1-2 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Sep 2020
FT : Ihefu Fc 1-2 Simba

Mabingwa wa nchi Simba wameanza vyema kampeni yao ya kutetea ubingwa baada ya kuichapa Ihefu Fc mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sokoine, Mbeya

Vijana wa Ihefu Fc walitoa upinzani mkali kwa mabingwa hao watetezi kinyume na wengi walivyotarajia kuwa ungekuwa ni mchezo rahisi

Alikuwa nahodha John Bocco aliyeitanguliza Simba kwa bao safi kwenye dakika ya 10 kabla ya Ihefu Fc hawajasawazisha kwenye dakika ya 14 kupitia Omary Mponda

Lakini Simba wakatangulia tena kabla ya mapumziko kwa bao la pili lililowekwa kimiani na kiungo Mzamiru Yassin

Kipindi cha pili hakikuwa na kashkash nyingi, Simba ikifanikiwa kulinda ushindi wake na kuondoka na alama zote tatu

Kikosi cha Simba kilichoanza;

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’