Kikosi cha Simba jioni ya leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa mchezo wa kwanza wa ligi kuu msimu wa 2020/21 dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja huo

ADVERTISE HERE