Mwanamama Barbara Gonzalez ndiye anayetajwa kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba akichukua nafasi iliyoachwa na Senzo Mazingiza
Barbara ana uzoefu wa masuala ya uongozi wa Taasisi, alikuwa Mtendaji Mkuu wa Mo Dewji Foundation
Uteuzi wake ulithibitishwa na kikao cha Bodi ya Wakurugenzi jana
ADVERTISE HERE