Fraga kurejea leo kutoka Brazil

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Sep 2020
Fraga kurejea leo kutoka Brazil

Kiungo wa Simba mwenye roho ya paka Gerson Fraga anatarajiwa kuwasili leo kutoka Brazil

Fraga alipewa ruhusu ya kwenda kuungana na mkewe katika kipindi cha kujifungua, akiwa tayari amepata mtoto wa kike

Nyota huyo anarejea rasmi kuendelea na majukumu yake ndani ya mabingwa hao wa nchi na hivyo kumaliza uzushi uliokuwa ukisambazwa kuwa hatarejea

Tangu mwishoni mwa msimu uliopita, Fraga alijipambanua kuwa mmoja wa wachezaji tegemeo eneo la kiungo cha ulinzi

Pamoja na kutimiza majukumu yake vyema, Fraga ameonyesha uwezo wa kufunga mabao kila anapopata nafasi

Alimaliza msimu uliopita akiwa na mabao manne katika mashindano yote

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’