Kikosi cha mabingwa wa soka nchini, Simba kimeendelea kujiwinda na mchezo wa ufunguzi ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ihefu Fc mkoani Mbeya
Mchezo huo utapigwa Jumapili katika uwanja wa Sokoine
Ni siku mbili zimesalia kuelekea mchezo huo




ADVERTISE HERE