Morrison atauwasha moto Jumapili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Sep 2020
Morrison atauwasha moto Jumapili

Klabu ya Simba ina uhakika wa kumtumia winga wake Mghana Bernard Morrison licha ya Yanga kudai kupeleka malalamiko huko CAS

Inaelezwa tayari Morrison ameidhinishwa kuwatumikia mabingwa hao wa Taifa hili na usajili wake umeingizwa kwenye mfumo wa FIFA (TMS)

Pia Morrison pamoja na nyota wengine wapya wa kigeni tayari wameshapata vibali vya kufanya kazi nchini

Morrison ameanza vyema maisha yake ndani ya klabu ya Simba akihusika katika magoli manne kwenye mechi mbili alizocheza

Winga huyo mwenye udambwi dambwi mwingi, alifunga bao na kutengeneza jingine kwenye mchezo wa Simba Day dhidi ya Vital'o

Pia akafunga na kutengeneza jingine kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc

Ni wazi timu pinzani zijiandae kwelikweli kwani ukiachana na Morrison, winga Luis Miquissone nae amesharejea akiwa tayari kukiwasha

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’