Kipenye apelekwa kwa mkopo Ihefu Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Sep 2020
Kipenye apelekwa kwa mkopo Ihefu Fc

Klabu ya Simba imemruhusu mshambuliaji wake chipukizi Cyprian Kipenye ajiunge na Ihefu Fc kwa mkopo

Kipenye ataitumikia Ihefu Fc kwa mwaka mmoja

Kinda huyo alipandishwa timu ya wakubwa na kocha Sven Vandenbroeck baada ya kuridhishwa na uwezo wake

Hii ni nafasi kwake kukuza kipaji chake kwani katika klabu hiyo iliyopanda ligi kuu msimu uliopita, anaweza kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’