Bodi ya Ligi yaigomea Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Oct 2017
Bodi ya Ligi yaigomea Yanga
Mchezo wa kwanza wa ligi kati ya Yanga dhidi ya wapinzani wao Simba unaotarajiwa kupigwa Oktoba 28, utachezwa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Yanga ambayo ni mwenyeji wa mchezo huo ilipeleka maombi kwenye Bodi ya Ligi kuomba mchezo huo uchezwe katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza lakini Bodi ya Ligi imekataa maombi hayo.

Mtendaji Mkuu Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesisitiza kwamba Ò€œUamuzi wa bodi umezingatia kanuni ya sita (kanuni ndogo ya sita) kuhusu uwanja ambapo mamlaka ya mwisho kuhusiana na mechi kuhama au haihami inabaki kwa bodi ya ligi na TFF.Ò€

Timu hizo zinatarajiwa kukutana Oktoba 28 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara huku Yanga ikiwa na kumbukumbu kuikosa Ngao ya Jamii iliyonyakuliwa na Simba msimu huu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’