Msimu mpya wa michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na kombe la Shirikisho utaanza mwishoni mwa mwezi Novemba kwa michezo ya hatua ya awali kupigwa
Mechi za hatua ya awali mzunguuko wa kwanza zitapigwa kati ya Novemba 20-22 na marudiano kupigwa Novemba 27-29
Dirisha la kwanza la usajili kwa ajili ya michuano hiyo litafunguliwa October 21 hadi Novemba 5 na la pili litaanza Novemba 06 mpaka Novemba 19
Simba itaiwakilisha nchi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho wataenda Namungo Fc
ADVERTISE HERE