Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba Sc kimewasili mkoani Mbeya kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa msimu mpya wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba 06, kwenye uwanja wa Sokoine
Simba itakuwa na takribani siku tatu za kufanya maandalizi tayari kuanza kampeni ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo




ADVERTISE HERE