Klabu ya Simba imetangaza kifo cha Mwanachama na aliyewahi kuwa Bwana Fedha wa Mabingwa hao wa nchi Egbert Mhada
Mhada mmoja wa Wajumbe wa Kundi la Friends of Simba, alifariki jana Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE