Simba yaunganisha ndege mbili kuelekea Mbeya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Sep 2020
Simba yaunganisha ndege mbili kuelekea Mbeya

Mapema leo mabingwa wa nchi Simba waliondoka mkoani Arusha kwa usafiri wa Ndege kurejea jijini Dar es salaam ambako wameunganisha ndege nyingine kuelekea mkoani Mbeya

Simba inakwenda kufungua msimu mpya Mbeya kwa kuikabili Ihefu Fc katika mchezo ambao utapigwa Jumamosi, Septemba 06

Miamba hao wa soka nchini, wameuanza msimu kwa moto wa kutisha, wakishinda mechi zote walizocheza zikiwemo za kirafiki na Ngao ya Jami

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
56m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’