Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji, ameomba kukutanishwa na shabiki wa klabu ya Simba aliyeshambuliwa na mashabiki wa Yanga juzi katika tukio lao la wiki ya Mwananchi
Mashabiki hao wasiokuwa waungwana walimchania jezi yake ya Simba aliyokuwa amevaa pamoja na kumpiga
Tukio hilo limelaaniwa vikali na kila mdau wa soka mpenda Amani

ADVERTISE HERE