Miquissone karudi na hat-trik

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Aug 2020
Miquissone karudi na hat-trik

Kiungo mshambuliaji wa Simba Luis Miquissone alirejea hivi karibuni katika kikosi cha mabingwa hao wa nchi baada ya kupewa ruhusa ya kwenda kula fungate, kufuatia ndoa aliyofunga karibuni

Leo kocha Sven Vandenbroeck amemrejesha kikosini kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Arusha FC huko Arusha

Miquissone amefunga mabao matatu 'hat-trik' katika mchezo huo ambao Simba iliibuka na ushindi wa mabao 6-0

Mabao mawili yalifungwa na Meddie Kagere huku bao jingine likiwekwa kambani na kiungo fundi kutoka Zambia, Larry bwalya

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’