Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara jana aliiwakilisha klabu yake kwenye msiba wa mwanasiasa mkongwe, mmoja wa waasisi wa Taifa, Kingunge Ngombale Mwiru aliyefariki dunia mapema jana kwenye Hospitali ya Muhimbili.
Manara alisaini kitabu cha maombolezo kwa niaba ya klabu ya Simba.
Tunawapa pole Familia ya Mzee Kingunge kwa kupoteza wazazi wao wote wawili katika kipindi cha mwezi mmoja.
Manara alisaini kitabu cha maombolezo kwa niaba ya klabu ya Simba.
Tunawapa pole Familia ya Mzee Kingunge kwa kupoteza wazazi wao wote wawili katika kipindi cha mwezi mmoja.
ADVERTISE HERE