Dirisha la usajili kufungwa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Aug 2020
Dirisha la usajili kufungwa leo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevitaka vilabu vya soka nchini vinavyoshiriki ligi kuu, ligi daraja la kwanza na la pili kuhakikisha wanakamilisha usajili wao leo kabla ya saa 5:59 usiku

Baada ya muda huo dirisha la usajili litafungwa na TFF imesisitiza kuwa hakutakuwa na muda wa nyongeza

Mabingwa wa nchi Simba wao walishafunga hesabu zao mapema tu, hofu pekee ilikuwa kwa winga Bernard Morrison ambaye klabu ya Yanga nayo inadaiwa imepeleka jina lake

Hata hivyo inaelezwa Simba tayari imeshamwandikisha Morrison kwenye mfumo wa usajili wa FIFA, nyota huyo akiwa tayari amepatiwa kibali cha kufanya kazi nchini sambamba na wachezaji wengine wa kigeni waliosajiliwa katika dirisha hili la usajili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’