Mashabiki wa mabingwa wa nchi Simba wameendelea kumiminika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha tayari kushuhudia mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc
Mchezo unatarajiwa kuanza saa tisa na nusu Alasiri

ADVERTISE HERE