Ngao ya Jamii inatambulika Kimataifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Aug 2020
Ngao ya Jamii inatambulika Kimataifa

Masaa machache kutoka sasa, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kitashuka kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha kumenyana na Namungo Fc kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii

Mchezo huu unoashiria uzinduzi wa msimu mpya, una hadhi ya Kimataifa kwani unatambuliwa na Mashirikisho ya FIFA, CAF na WHO

Kwa mara ya kwanza mchezo huo unapigwa Arusha ukiwa ni utaratibu ambao TFF imeuanzisha ili kuwapa fursa mashabiki wa soka mikoani kupata burudani kutoka kwa miamba wa soka nchini

Ni kuanzia saa tisa na nusu Alasiri na utarushwa mbashara na Azam Sport 2

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’