Simba kuhesabu taji la kwanza leo?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Aug 2020
Simba kuhesabu taji la kwanza leo?

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba jioni ya leo kitashuka pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha kuumana na Namungo Fc ukiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii

Mchezo huo ni ishara ya kuzinduliwa kwa msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom, 2020-21

Ni mchezo ambao Simba imelenga kuweka kibindoni taji lake la kwanza msimu huu

Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Sven Vandenbroeck katika mazungumzo yake na Wanahabari jana, alisema ana kikosi cha wachezaji 20 ambao wako tayari kwa mchezo huo

Beki Paschal Wawa na Luis Miquissone ndio wachezaji ambao watakosekana leo kwa kuwa walichelewa kujiunga na timu

Kikosi cha Sven kimewajumuisha nyota wote wapya wakiongozwa na Bernard Morrison, Larry Bwalya, Chris Mugalu, Charles Ilanfya, Ibrahim Ame, Joash Onyango na Kameta

Mchezo utapigwa kuanzia saa tisa na nusu Alasiri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
4h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
4h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
7h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’