Simba yakamilisha maandalizi kuikabili Namungo Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Aug 2020
Simba yakamilisha maandalizi kuikabili Namungo Fc

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimekamilisha maandalizi yake ya mwisho jioni hii kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc

Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Ni mchezo ambao Simba inaweza kuanza msimu kwa kuweka kibindoni taji la kwanza

Mchezo utapigwa kuanzia saa tisa na nusu Alasiri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’