Simba yapania kuhesabu taji la kwanza msimu huu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Aug 2020
Simba yapania kuhesabu taji la kwanza msimu huu

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema kikosi chake kiko tayari kuikabili Namungo Fc kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Akizungumza na Wanahabari mapema leo mkoani Arusha, Sven alisema wachezaji 20 kwa ajili ya mchezo huo wako tayari

Wanahitaji kushinda ili kuwa na mwanzo mzuri na kampeni nzuri ya msimu

"Wachezaji 20 wapo tayari kwa mchezo wa kesho. Maandalizi ya msimu hayajawa marefu lakini tulikuwa na mechi nzuri za kirafiki ambazo zimekuwa na faida kwetu" alisema

"Ni muhimu kuanza na ushindi sababu itatupa nguvu ya kuanza vizuri kwenye ligi kuu wiki ijayo. Tutafanya kila jitihada kuhakikisha tunashinda."

Nae nahodha wa mabingwa hao wa nchi John Bocco, amesema wanafahamu wanakwenda kucheza na timu nzuri, lakini lengo lao ni kuhakikisha wanashinda mchezo huo

"Tunaamini Namungo ni timu nzuri na itatupa changamoto lakini tunaamini benchi letu, wachezaji tulionao na kwa mapenzi ya Mungu tunaamini kesho tutafanya vizuri."

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’