Mke wa kiungo wa Simba Gerson Fraga amejifungua salama nchini Brazil
Fraga aliondoka nchini mwanzoni mwa wiki hii kurejea Brazil kuungana na mkewe aliyekuwa akisubiri kujifungua
Kupitia ukurasa wa mtandao wake wa kijamii, Fraga ameweka picha ikimuonyesha akiwa na mkewe na mtoto wao mchanga
Fraga anatarajiwa kurejea nchini kuendelea na majukumu yake ndani ya klabu ya Simba baada ya zoezi hilo kukamilika
ADVERTISE HERE