Kikosi cha Simba kimewasili mkoani Kilimanjaro na kuianza safari ya kuelekea Arusha ambako mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc utapigwa keshokutwa Jumapili
Mabingwa hao wa nchi waliondoka jijini Dar es salaam majira ya jioni kwa usafiri wa ndege ya Precision Air



ADVERTISE HERE