Djuma kumbe wamo!

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Feb 2018
Djuma kumbe wamo!
Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma ameonyesha yumo baada ya kucheza full game huku akimdhibiti Emmanuel Okwi na wachezaji wengine.

Djuma alijumuika katika moja ya vikosi vya Simba wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam jana.

Kocha huyo aliyewahi kutamba na kikosi cha APR alionyesha uwezo wa kupambana na wachezaji wa Simba walio fiti.

Mara kadhaa, alikimbizana na Okwi na kutoa ushindani sahihi na kuwavutia baadhi ya mashabiki waliokuwa mazoezini hapo.

Simba inaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wao wa kesho Jumapili dhidi ya Ruvu Shooting.

Saleh Ally
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’