Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimeondoka jioni ya leo Ijumaa kuelekea mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa siku ya Jumapili,August 30 uwanja wa Sheikh Amri Abeid






ADVERTISE HERE