Kocha Harambee Stars awashangaa wabongo wanaombeza Onyango

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Aug 2020
Kocha Harambee Stars awashangaa wabongo wanaombeza Onyango

Mkufunzi wa zamani wa timu ya Taifa ya Kenya, Harambe Stars, Adel Amrouche amesema beki Joash Onyango aliyesajiliwa na Simba ni kati ya mabeki bora aliowahi kufanya nao kazi

Amrouche amesema wanaombeza wataona tofauti pale atakapoanza kucheza.

Amesema kawaida Onyango hana mvuto kwa mashabiki badala yake ana mvuto mkubwa kwa watu wa ufundi kwa maana ya makocha.

Onyango amejiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya kwa kandarasi ya miaka miwili na mchezo wake wa kwanza ulikuwa dhidi ya Vital'O ya Burundi ambapo Simba ilishinda mabao 6-0 Uwanja wa Mkapa.

"Ni miongoni mwa wachezaji wazuri ambao hawavutii nje ya uwanja lakini uwezo wao ni ndani ya uwanja hivyo ninaamini atafanya makubwa ambayo wengi hawataamini," alisema

Onyango ameanza maisha yake vyema kwenye kikosi cha Simba, amefanya vizuri katika mechi zote tatu za kujipima alizocheza

Keshokutwa Jumapili anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Namungo Fc kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa mkoani Arusha, uwanja wa Sheikh Amri Abeid

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’