Mabingwa wa nchi Simba leo wameonyesha ubabe wao kwa kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya KMC na Transit Camp
Walianza kuifumua KMC mabao 3-1 na mchezo wa pili wakashinda mabao 5-2 dhidi ya Transit Camp
Mabao ya Simba katika mchezo dhidi ya Transit Camp yalifungwa na Kipenye 4' , 24', Ilanfya 19', Kagere 42' na Gadiel 79'
Hii ndio maana halisi ya kuwa na kikosi kipana...!
ADVERTISE HERE