Simba yaifunga KMC 3-1, ni mchezo wa kirafiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Aug 2020
Simba yaifunga KMC 3-1, ni mchezo wa kirafiki

Leo pale uwanja wa Uhuru klabu ya Simba inacheza mechi mbili za kirafiki asubuhi hii

Mchezo dhidi ya KMC umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-1

Mabao ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajib, Clatous Chama na Mzamiru Yassin

Mchezo mwingine unaofuata ni dhidi ya Transit Camp

Mechi zote zinapigwa uwanja wa Uhuru na sio Mo Simba Arena kama ilivyoripotiwa awali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’