Mabingwa wa nchi Simba wanaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Jumapili, August 30 uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Leo Simba inacheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya KMC na Transit Camp
Mchezo wa mapema ni dhidi ya KMC na kufuatiwa na ule wa Transit Camp
Mechi zote zitapigwa kwenye uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE