Onyango afurahia maisha Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Aug 2020
Onyango afurahia maisha Msimbazi

Beki kisiki Mkenya Joash Onyango ameeleza kufurahia maisha yake ndani ya mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba akiamini yuko sehemu sahihi

Mapema tu, baada ya kuitumikia timu yake kwenye mchezo wa kwanza, kiwango chake kimewakuna mashabiki ambao sasa wanaamini wamepata mtu katika safu ya ulinzi

Onyango ameeleza kufurahia ushirikiano anaopata kutoka kwa mashabiki, viongozi na wachezaji wenzake akishangazwa na mapokezi aliyopewa na Wana Msimbazi

"Watu hapa Tanzania ni wakarimu, wamenifanya nizoee mazingira kwa haraka sana. Sina maneno mengi lakini nina imani nitapata mafanikio hapa, nitahakikisha mchango wangu unaisadia Simba kupta mataji zaidi," alisema

Kwenye mchezo wa Simba Day dhidi ya Vital'o, Onyango alionyesha kiwango cha juu akishirikiana vyema na beki mwingine mpya Ibrahim Ame

Nyota hao walianzishwa pamoja katika mchezo huo uliomalizika kwa Simba kushinda mabao 6-0

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’